Weekday

user-image

Hossana Macheo

6:00AM to 9:30AM Mon-Fri

Kila Jumatatu hadi Ijumaa asubuhi kuanzia saa kumi na mbili hadi saa tatu na nusu asubuhi ungana naye Victor Mandala kwa kipindi cha Hossana Macheo.

Mixed Flavors

10:00AM to 2:00PM Mon-Fri

Kila Jumatatu hadi Ijumaa asubuhi kuanzia saa Nne hadi saa Nane ungana naye Dinah kwa kipindi cha Mixed Flavors.

user-image
user-image

Mavuno

4:00PM to 7:00PM Mon-Fri

Kila siku saa kumi jioni ndani ya mpango mzima wa mavuno.ungana naye mwanambai kusifu na kumtukuza Mungu ndani ya inada ya mavuno

Weekend

Inuka na Biblia Husema

5:00AM to 8:30AM Saturday

Kila siku ya jumamosi saa kumi na moja alfajiri hadi saa mbili unusu asubuhi ungana na benson mwanza ndani ya kipindi cha inuka na bhb ambapo unapata neno la himizo,unapata fursa ya kushuhudia wema wa mungu maishani mwako,kuinua wawili watatu na pia tunaombeana kwa kutuma mahitaji yako pamoja na kumshukuru mungu.

user-image
user-image

Watoto Sebuleni

8:30AM to 10:00AM Saturday

Kila siku ya jumamosi asubuhi kuanzia saa mbili unusu hadi saa nne asubuhi ungana naye untie Christine kwa kipindi cha watoto sebuleni. hapa tunajifunza mengi kupitia nyimbo,shairi,toungue twister,vifungu vya bibilia ,hadithi na mengine mengi

Gospel Ruka

10:00AM to 2:00PM Saturday

Usikose baraka za wikendi,burudani tosha,ucheshi na mijadala za kukujenga na kuelimisha,mahojiano ya kipekee na wasanii chipukizi na waliobobea naye Cynthia Njuguna...usihadithiwe wikendi sio wikendi bila gospel ruka show.

user-image

© 2019 Biblia Husema Broadcasting. All rights reserved